MUWASA inatoa huduma bora zaidi mkoani humo. Huduma zetu ni pamoja na Huduma za Maji Safi na Majitaka.