TAARIFA YA UKOSEFU W...
TAARIFA YA UKOSEFU WA HUDUMA YA MAJI MUGUMU
28 Oct, 2025

TAARIFA KWA UMMA.

Yah: UKOSEFU WA HUDUMA YA MAJI

MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MUSOMA (MUWASA) KANDA YA MUGUMU INAWATANGAZIA WATEJA WAKE KUWA KUNA UKOSEFU WA HUDUMA YA MAJI LEO  TAREHE 28.10.2025 KWA SABABU YA MATENGENEZO YA MIUNDOMBINU YA TANESCO.

HALI HII ITASABABISHA UKOSEFU WA MAJI MAENEO YOTE YA MUGUMU.

HUDUMA ITAREJEA MARA BAADA YA MATENGENEZO KUKAMILIKA.

MUWASA INAOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE UTAKAOJITOKEZA.

TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO NA UHUSIANO KWA UMMA MUWASA. 

KWA MAWASILIANO PIGA BURE NAMBA YA HUDUMA KWA WATEJA 0800110108