TAARIFA YA UKOSEFU WA HUDUMA YA MAJI KANDA YA MUGUMU
09 Jul, 2025
TAARIFA KWA UMMA.
Yah: UKOSEFU WA HUDUMA YA MAJI
MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MUSOMA (MUWASA) KANDA YA MUGUMU INAWATANGAZIA WATEJA WAKE KUWA KUNA UKOSEFU WA HUDUMA YA MAJI LEO TAREHE 09.07.2025 KWA SABABU YA KUPASUKA KWA BOMBA KUBWA MAENEO YA DDH.
HALI HII ITASABABISHA UPUNGUFU WA MAJI KWA BAADHI YA MAENEO NA MENGINE KUKOSA KABISA HUDUMA YA MAJI.
HUDUMA ITAREJEA MARA BAADA YA MATENGENEZO KUKAMILIKA.
MUWASA INAOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE UTAKAOJITOKEZA.
TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO NA UHUSIANO KWA UMMA MUWASA.
KWA MAWASILIANO PIGA BURE NAMBA YA HUDUMA KWA WATEJA