Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu katika Wizara ya Maji, Bi. Christina Akyoo, amekutana na kufanya kikao cha watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Musoma (MUWASA)
Mwenge wa Uhuru 2025 watembelea Mradi wa Upandaji Miti Rafiki wa Maji kwenye chanzo cha maji Bukanga.
Mkurugenzi Mtendaji wa MUWASA Eng. Nicas Mugisha ametoa zawadi ya Tsh. 1,200,000/= kwa watumishi 12 waliofika lengo la makusanyo la 90% kwa mwezi julai 2025
Watumishi wa MUWASA wakiwa kwenye ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuweka jiwe la msingi mradi wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na kuwahutubia wananchi wa Nyashimo, Busega mkoani Simiyu tarehe 19 Juni, 2025.
Watumishi wa MUWASA wanaounda Kwaya ya Wizara ya Maji wakiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa MUWASA Injinia Nicas Mugisha kwenye uzinduzi wa Mradi wa Maji Same Mwanga Mkoani Kilimanjaro
Kiongozi wa mbio za Mwenge akikagua Mradi wa Upanuzi wa Mtandao wa Maji katika mitaa 7 ya Manispaa ya Musoma
Kiongozi wa mbio za Mwenge akikagua Mradi wa Upanuzi wa Mtandao wa Maji katika mitaa 7 ya Manispaa ya Musoma